26 Aug 2025 10:20 am | Citizen TV 247 views Duration: 3:00 Chama cha ODM kaunti ya Taita Taveta kimeandaa uchaguzi wa viongozi mbalimbali huku mgawanyiko wa wanachama ukijitokeza baada ya seneta wa kaunti hiyo Jones Mwaruma kutangazwa kuwa mwenyekiti.