26 Aug 2025 10:17 am | Citizen TV 6,062 views Duration: 2:18 Mwanamume wa miaka thelatini na saba anaendelea kusakwa na maafisa wa ujasusi kutoka kitengo cha GSU katika Kijiji Cha Kipkosil sehemu ya Bureti Kaunti ya Kericho