Kilio cha haki Kaloleni | Familia yalilia kifo cha jamaa yao

  • | KBC Video
    40 views

    Familia ya mwanamme wa umri wa miaka 34 inalilia haki baada ya jamaa yao kupatikana akiwa ameaga dunia katika kituo cha polisi cha Kizurini eneo bunge la Kaloleni. Kwa mujibu wa polisi, marehemu Santa Kaingu alijitia kitanzi akitumia blanketi usiku huo lakini familia yake imekanusha madai hayo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #kiliochahaki #News #kaloleni