Duniani leo Februari 02, 2023: Papa Francis awaasa vijana kuwa waadilifu

  • | VOA Swahili
    2,125 views
    Akiendelea na ziara yake nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Papa Francis amewawasa vijana kuwa na uadilifu, kusamehe na kujenga ushirikiano kati yao. #ziara #drc #papafrancis #vijana #uadilifu #ushirikiano #voa #voaswahili #dunianileo Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C. #habari Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.