Robo ya wanawake wa jamii ya Wasomali wanaoishi jijini Nairobi wanatumia huduma za kupanga uzazi

  • | K24 Video
    49 views

    Robo ya wanawake wa jamii ya Wasomali wanaoishi katika maeneo ya kamukunji, Ruaraka na Embakasi hapa jijini Nairobi, wanatumia huduma za kupanga uzazi. Utafiti uliofanywa mwaka wa 2021 unafichua hili, ukiashiria hitaji la afua za afya ya uzazi mijini ili kuboresha matumizi ya upangaji uzazi, hasa miongoni mwa jamii ya Wasomali.