Kenya: Mwalimu wa fizikia atumia betri za kompyuta kuokoa mazingira

  • | VOA Swahili
    247 views
    Mwalimu wa somo la fizikia katika shule moja nchini Kenya anazunguka mjini kutafuta malighafi - betri za zamani za kompyuta za mkononi. Katika ripoti hii ungana na mwandishi wetu akikuletea maelezo juu ya mradi ambao mwalimu huyu ameubuni na jinsi unavyoendelea kulinufaisha taifa la Kenya kwa kupunguza uchafuzi wa mazingira. #mwalimu #somo #fizikia #mjasiriamali #voa #voaswahili #kenya #dunianileo #betri #mazingira - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.