Vijana wadaiwa kususia shule ili kufanya kazi ya kuchimba Migodi Ikolomani

  • | West TV
    60 views
    Imebainika kuwa Vijana wengi wanaosusia kuenda shuleni katika eneo Bunge la Ikolomani wanajihusisha na uchimbaji migodi.