- 2,842 viewsDuration: 2:04Makumi ya wakazi wa kijiji cha Osiri kaunti ya Kisumu wanakadiria hasara baada ya mvua kubwa ya mawe kusababisha uharibifu Jumatatu usiku. Majumba, madarasa na mazao ya shambani ni baadhi ya vitu vilivyoharibiwa huku mamia ya mifugo pia wakisombwa