Wahudumu wa magari ya uchukuzi wasimulia changamoto wanazopitia licha ya ujenzi wa kituo cha forodha

  • | Citizen TV
    383 views

    Licha ya serikali kuanzisha ujenzi wa kituo cha forodha katika eneo la Suam mpakani mwa Kenya na Uganda, wafanyibiashara na wahudumu wa magari ya uchukuzi bado wanasimulia changamoto kubwa kutokana na ukosefu wa maeneo rasmi ya kufanikisha shughuli zao.