Teknolojia mpya na magari ya kisasa yanayotumia AI

  • | VOA Swahili
    175 views
    Maonyesho ya teknolojia mpya na magari ya kisasa yanayotumia Artificial Intelligence yalifanyika wiki iliyopita hapa mjini Washington, DC. Endelea kumskiliza Sunday Shomari akikuletea maelezo ya kina kuhusu aina ya gari, thamani yake, utumiaji wake, uendeshaji na jinsi unavyoweza kuongea na gari yako. Sikiliza habari kamili... #maonyesho #magari #magariyaumeme #artificialintelligence #conventioncenter #washingtondc #voa #voaswahili #dunianileo - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.