- 47 viewsMaonyesho ya teknolojia mpya na magari ya kisasa yanayotumia Artificial Intelligence yalifanyika wiki iliyopita hapa mjini Washington, DC. Endelea kumsikiliza Sunday Shomari akikuletea maelezo ya kina kuhusu aina ya gari, thamani yake, utumiaji wake, uendeshaji na jinsi unavyoweza kuongea na gari yako. Sikiliza habari kamili... #maonyesho #magari #magariyaumeme #artificialintelligence #conventioncenter #washingtondc #voa #voaswahili #dunianileo - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Teknolojia yawezesha dereva na gari kuzungumza kwa njia ya Artificial Intelligence
- 29 Apr 2024 - Lilian Seenoi-Barr was selected by the Social Democratic and Labour Party (SDLP) to become the next mayor of Derry City and Strabane District Council.
- 29 Apr 2024 - Imagine turning on the tap, and instead of the comforting rush of water, there's only silence. This is the reality of residents of Sabatia, Vihiga County, where the spectre of non-revenue water (NRW) looms large, casting a shadow over daily life.
- 29 Apr 2024 - Nairobi Senator Edwin Sifuna has stated that the Nairobi County government is overwhelmed by the ongoing rains which have claimed many lives and left many displaced.
- 29 Apr 2024 - The government has directed County Security and Intelligence Committees (CSICs) across the country to inspect all public and private dams and water reservoirs by 2 p.m. Tuesday.
- 29 Apr 2024 - Roads and Transport Cabinet Secretary (CS) Kipchumba Murkomen has pleaded with Kenyans to heed all safety directives issued by the national and county governments on the ongoing floods to avert further loss of lives.
- 29 Apr 2024 - Traditionally, masturbation has been something that is acceptable for boys.
- 29 Apr 2024 - CS Mvurya said the ongoing heavy rains and flooding call for great care to avoid possible danger.
- 29 Apr 2024 - In emergencies, the presence of individuals trained in first aid can make a critical difference.
- 29 Apr 2024 - The former CS lauded the government for postponing the reopening of schools.
- 29 Apr 2024 - Tana River DCC Mutua says stern action will be taken against anyone found defying the order