28 Aug 2025 10:18 am | Citizen TV 1,817 views Duration: 1:53 Baadhi ya washirika wa Rais William Ruto kutoka Ukambani wamemkashifu vikali aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua wakimtuhumu kwa kueneza uongo dhidi ya utawala wa Kenya Kwanza