28 Aug 2025 10:12 am | Citizen TV 2,715 views Duration: 2:01 Hali ya taharuki imetanda katika kaunti ya Isiolo baada ya watu wasiojulikana kuteketeza ofisi ya katibu wa kaunti hiyo na kuharibu mali ya bunge la kaunti hiyo