Nazlin Umar atetea uamuzi wa mahakama kuu

  • | K24 Video
    46 views

    Kufuatia uamuzi wa mahakama kuu kuwa mgombea urais hahitaji shahada, sasa aliyewasilisha ombi hilo mahakamani nazlin umar rajput anapania kuwasilisha ombi katika mahakama ya juu la kutaka uchaguzi wa urais ufanywe upya. Rajput aliyeonyesha nia ya kuwania urais amepuuzilia mbali madai kuwa anafadhiliwa na muungano wa azimio licha ya kuwa anaamini serikali iliyoko haikuchaguliwa kihalali.