Simulizi ya Alex Charo ambaye alilazimika kustaafu kama afisa wa polisi

  • | K24 Video
    177 views

    Maafisa wa polisi wamekuwa wakitekeleza majukumu yao katika vituo mbali mbali vya polisi nchini ,hii ikiwa ni kutokana na kiapo walichokula walipofuzu katika vyuo vya mafunzo. Kwa Alex Charo kuhudumu kwake katika kituo cha polisi cha Marereni kaunti ya Kilifi baadaye kungebadilisha maisha yake katika hali ambayo ameishi kujutia baada ya kituo hicho kuvamiwa na majambazi mwaka wa 1997 na kupoteza uwezo wa kuona.