Mkenya aeleza faida za kutumia nishati mbadala ya umeme

  • | VOA Swahili
    95 views
    Wakati utamaduni wa kutumia nishati mbadala ya umeme ikiendelea kukua nchini Kenya, mwananchi aeleza jinsi alivyopata unafuu wa maisha kwa kuhamia kutumia chombo cha usafiri kinachotumia umeme. Sikiliza faida mbalimbali zinazopatikana kwa watu binafsi na taifa kwa ujumla... #utamaduni #nishati #nishatimbadala #umeme #kenya #mwananchi #chombochausafiri #voa #voaswahili #dunianileo #mazingira #uchafuziwamazingira - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.