Wakaazi wa Jomvu waandamana wakilalamikia hali duni ya barabara

  • | Citizen TV
    282 views

    Wakazi wa maeneo ya Jomvu na Miritini kaunti ya Mombasa wanalalamikia hali duni ya barabara wanayodai imeathiri biashara zao. Wakazi hao wanalalamika kuwa mkandarasi hamwagi maji na kusababisha vumbi jingi kutifuka hasa wakati matrela yanapita.