Mwalimu anayedaiwa kurekodi kanda ya watoto wakifanya kitendo ambacho ni kinyume na maadili akamatwa

  • | Citizen TV
    5,016 views

    Maafisa wa polisi kutoka Kisii walifanikiwa kumkamata mwalimu ambaye anakisiwa kurekodi kanda ambapo wanafunzi walionyeshwa wakifanya kitendo ambacho ni kinyume na maadili katika jamii ndani ya shule ya msingi ya Itumbe D.O.K. Hadi sasa jumla ya walimu saba wamekamatwa na wanatarajiwa kufikishwa mbele ya mahakama eneo la Ogembo kaunti ya Kisii.