Wanafunzi waliofanya vyema Nakuru wafadhiliwa na benki ya Equity

  • | Citizen TV
    176 views

    Imekuwa afueni kwa wanafunzi kutoka familia maskini kaunti ya Nakuru baada ya kupokea ufadhili kutoka kwa wakfu wa Equity.