Tume ya KNCHR yaanda warsha mjini Kitale kutoa mafunzo kwa wanahabari

  • | Citizen TV
    137 views

    Tume ya kitaifa ya kutetea haki za binadamu nchini KNCHR imeandaa warsha mjini kitale kaunti ya Trans Nzoia kuelimisha wanahabari kuhusu jinsi ya kuangazia visa vya ukiukaji wa haki za binadamu katika jamii mbali na kujua haki za wanahabari wanapotekeleza wajibu wao.