Wakaazi wa Umande na Naibor katika kaunti ya Laikipia walalamikia uhaba wa maji eneo hilo

  • | Citizen TV
    148 views

    Wakazi wa maeneo ya Umande hadi Naibor kaunti ya Laikipia wanalalamikia uhaba wa maji wakiwalaumu wakulima wanaoishi upande wa juu wa mto Sirimon kwa kufungia maji ya mto huo yasifike nyanda za chini.