Mtu mmoja auawa baada ya kuvamiwa na ndovu Kwale

  • | Citizen TV
    278 views

    Mtu mmoja ameuawa baada ya kushambuliwa na ndovu katika kijiji cha Mnarani eneo bunge la Lungalunga katika kaunti ya Kwale huku ndovu wengine wakiendelea kuwahangaisha wakazi wa eneo la Shimba Hills.