Serikali ya kaunti ya Nandi na Uingereza yaafikiana kutatua changamoto ambazo zimekuwa zikishuhudiwa

  • | Citizen TV
    120 views

    Serikali ya kaunti ya Nandi pamoja na ya Uingereza zimeafikia makubaliano ya kuboresha uhusiano mwema na kusaidia kutatua changamoto ambazo zimekuwa zikishuhudiwa kati ya waekezaji mbalimbali na Serikali ya kaunti hiyo .