Maafisa wa polisi wamwaga lita 5,000 za pombe haramu Nandi

  • | Citizen TV
    379 views

    Maafisa wa idara ya usalama kaunti ya Nandi wameteketeza na kumwagwa lita zaidi ya 5,000 za pombe haramu iliyonaswa katika sehemu mbalimbali za kaunti hiyo.