Wazazi kutoka Migori wataka mgao wa CDF kuongezwa ili kuhifadhi mahitaji ya masomo

  • | Citizen TV
    155 views

    Baadhi ya wazazi katika kaunti ya Migori wanaitaka serikali kuongeza pesa za Hazina ya Maendeleo ya Maeneo Bunge (CDF) huku mahitaji ya fedha hizo yakiongezeka kutokana na idadi kubwa ya wanafunzi wanaohitaji ufadhili wa elimu.