Waziri Alice Wahome azindua mradi wa kuchimba visima vya maji maeneo ya Turkana, Marsabit na Wajir

  • | Citizen TV
    1,285 views

    Wizara ya maji nchini imezindua mradi wa kuchimba visima vya maji, kwenye mpango wa miaka sita utakaojumuisha maeneo kadhaa barani Afrika. Hapa nchini, mradi huu utalenga watu milioni 1.5 katika maeneo kame ya Turkana, Marsabit, Wajir, Mandera na Garissa. Lengo kuu la mradi ni kuhakikisha uhifadhi wa ardhi wa maji kwa wakazi hawa.