Wananchi kugharamika zaidi kupata maji nchini

  • | Citizen TV
    571 views

    Wadau katika sekta ya maji sasa wanalalamikia ongezeko la gharama ya maji kuanzia mwezi huu huku kutekelezwa kwa kanuni mpya za sekta ya maji kukianza. Baadhi ya wasimamizi wa kampuni za maji katika kaunti ya Kiambu wanasema gharama hiyo itafanya watumizi wa maji kushindwa kulipia bidhaa hiyo muhimu.