Watoto watano waliozaliwa kwa mpigo wameaga dunia Nakuru

  • | K24 Video
    97 views

    Watoto watano waliozaliwa kwa mpigo katika hospitali ya PGH nakuru jumanne wameaga dunia hii leo kutokana na kufeli kwa viungo muhimu vya mwili. Monica Nyambura, dadake Simon Kinyajui amesema walipata ripoti ya kufariki kwa watoto wawili leo asubuhi kabla ya wengine watatu nao kuaga dunia baadaye.