NCIC yamtaka kinara wa Azimio kusitisha mikutano

  • | Citizen TV
    3,677 views

    Mwenyekiti wa tume ya uwiano na utangamano nchini NCIC Daktari Samuel Kobia amemtaka kinara wa Azimio Raila Odinga kusitisha mikutano inayoendelea kuipinga serikali ya Kenya Kwanza akisema huenda mikutano hiyo ikahatarisha uchumi wa taifa.