Wafanyikazi 6 wa kampuni ya Maji Riftvalley wafikishwa mahakamani

  • | Citizen TV
    334 views

    Wafanyikazi sita wa bodi ya Maji ya Rift Valley na wengine wawili wa bodi ya maji ya Ziwa Viktoria wamefikishwa mahakamani mjini Bungoma kufuatia tuhuma za ufisadi.