Watoto watano waliozaliwa kwa mpigo Nakuru wamefariki

  • | Citizen TV
    2,494 views

    Watoto watano waliozaliwa kwa mpigo hapo jana kaunti ya nakuru wamefariki. Familia ya Simon Ndung'u, baba aliyebarikiwa na watoto hao inaomboleza baada ya wanao kufariki chini ya saa arubaini na nane baada ya kuzaliwa.Familia inasema kuwa watoto hao walifariki wakati tofauti hii leo kutokana na changamoto za kiafya