Tume ya walimu kuwasimamisha kazi walimu sita Kisii

  • | Citizen TV
    3,115 views

    Tume ya walimu TSC imewasimamisha kazi Walimu sita wanaotuhumiwa kwa kuwalazimisha watoto wa gredi ya pili kufanya tendo la uhanithi na kisha kuwaekodi na kusambaza picha hizo mitandaoni. aidha mwalimu mwingine mmoja wa shule hiyo ametakiwa kuonyesha sababu za kwanini asichukuliwe hatua kama hiyo. matukio hayo yalifanyika katika shule ya msingi ya Itumbe D.O.K, kaunti ya Kisii