Mahakama yamuru walimu saba waliokamatwa kwa kuwadhalilisha watoto kuzuiliwa kwa siku mbili

  • | Citizen TV
    1,669 views

    Mahakama mjini Ogembo imeamuru walimu saba waliokamatwa kwa kuwadhalilisha watoto wa gredi ya pili katika shule ya Itumbe D.O.K KISII, watazuiliwa kwa siku mbili katika stesheni ya polisi ya Nyangusu kaunti ya Kisii.