Wakaazi wa Maral walalamikia ongezeko la mauaji mjini humo

  • | Citizen TV
    272 views

    Wakazi wa Mji wa Maralal Kaunti ya Samburu, wamelalamikia ongezeko la mauaji mjini humo. Hii ni baada ya Mtu mmoja kupatikana amefariki katika njia tatanishi,mwili wake ukitupwa katika Bustani ya Greenpark mjini Maralal Kaunti ya Samburu. Mwanahabari wetu Bonface Barasa ana uketo zaidi.