Wazee wa Njuri Ncheke waandaa kikao maalum kushinikiza viongozi serikalini kutatua mzozo wa ardhi

  • | Citizen TV
    1,261 views

    Kufuatia kuongezeka kwa visa vya unyakuzi wa ardhi ya uma eneo bunge la Tharaka, na kesi za ardhi kuchukua muda mrefu kotini, wazee wa Njuri Ncheke eneo hili wameandaa kikao maalum kushinikiza viongozi na serikali Kutatua mzozo hiyo kwa haraka hili wakaazi kuwekeza kwenya ardhi Yao. Kesi ambazo hukawia kwa miongo mingi kotini zimetatiza Maendeleo maeneo mengi Tharaka.