- 84 viewsBunge la Peru limekataa mswaada wa tatu uliowasilishwa katika wiki moja ukitaka maandalizi ya uchaguzi wa mapema yafanyike. Wakati huo huo maandamano yanaendelea kote nchini. Mswaada huo unapendekeza pia kuandaliwa kura ya maoni. Endelea kumsikiliza mwandishi wetu akikuletea hali ilivyo katika mitaa ya Lima wakati waandamanaji wakishinikiza kufanyika uchaguzi... #bunge #peru #mswaada #uchaguzi #maandamano #mswaada #lima #voa #voaswahili #dunianileo - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Wananchi wa Peru washinikiza kufanyika uchaguzi, waandamana
- - Duniani Leo ››
- - LIVE|| TV47 Matukio ››
- 2 May 2024 - Everywhere there is gloom, and uncertainty about what happens next at Columbia University.
- 2 May 2024 - I am a co-creator in my own destiny
- 2 May 2024 - Currently Kenya only hosts two tennis tournaments in a 52 week tennis calendar and Moss said the the World body was keen for Kenya to grow that number in the next three years.
- 2 May 2024 - Pushes to increase production capacity.
- 2 May 2024 - Mutua will be in the company of Diana Chebet, Joan Cherono, Jackline Nanjala, Rahab Wanjiru and Vanice Kerubo.
- 2 May 2024 - “With 86 days to the Olympics, we had a lot of discussions on who is suitable to fly the Kenyan flag at the Olympics. It was not easy,” said Tuwei.
- 2 May 2024 - Bola Edwards blends African arts with lessons on values and leadership
- 2 May 2024 - AK Nyanza South chairman Peter Angwenyi settled on Kisii University after inspecting the venue and Cardinal Otunga High School, Mosocho.
- 2 May 2024 - Sancho’s three goals in 16 appearances in his second spell at the club, on loan, is an improvement on the 12 in 82 he managed at Manchester United.
- 2 May 2024 - He will be in South Africa for the high-performance training and up-skilling programme for the next six months.