KNUT yataka TSC ipeleke walimu katika shule zote za JSS

  • | K24 Video
    60 views

    Katibu wa wizara ya elimu belio kipsang ametoa onyo kali dhidi ya shule zinazokiuka maagizo ya serikali ya kutowatoza pesa zaidi wazazi wanaowapeleka wanafunzi wa gredi ya saba katika shule za sekondari ya ngazi ya chini. Onyo hilo limetolewa wakati baadhi ya wazazi wanalalamika kuwa wametakiwa walipe katika shule za umma ambazo watoto wanatakiwa kujiunga.