Loice Akinyi alipiwa karo ya shule ya upili ya wasichana ya Pangani

  • | Citizen TV
    721 views

    Ni afueni kwa Loice Akinyi msichana aliyeangaziwa na runinga ya citizen akisononeka kwa kukosa karo ya kujiunga na shule ya wasichana ya Pangani Jijini Nairobi