Waziri wa usalama Kithure Kindiki asema vijitabu vya pasipoti vimewasili nchini

  • | Citizen TV
    1,070 views

    Waziri wa usalama Kithure Kindiki amesema mrundiko wa utoaji vyeti vya usafiri umetatuliwa, baada ya miezi kadhaa ya ukosefu wa vijitabu vya kuchapishia pasipoti. Aidha, Kindiki ametangaza kuwa idara ya uhamiaji imepokea vijitabu elfu hamsini, na vingine laki mbili vinatarajiwa humu nchini wiki ijayo.