Wanafunzi waendelea kufaidika na ufadhili wa masomo

  • | KBC Video
    28 views

    Mipango ya misaada ya masomo inaendelea kutolewa kote nchini kuwawezesha wanafunzi waliofanya mtihani wa kitaifa wa darasa la nane mwaka jana kujiunga na shule za upili. Kwa mujibu wa wadau katika sekta hiyo, kigezo cha kubaini wanafunzi werevu na wanaotoka kwa familia zisizojimudu ndicho kinachotumika kuwatambua wanafunzi watakaonufaika.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #scholarship #News