Rais Ruto asema hatalegeza juhudi zake za kuhakikisha kila MKenya analipa ushuru

  • | KBC Video
    19 views

    Rais William Ruto amesema hatalegeza juhudi zake za kuhakikisha kila MKenya analipa ushuru bila kujali tabaka zao katika jamii. Rais alisema ameiagiza halmashauri ya ukusanyaji ushuru humu nchini –(KRA), kuafikia makubaliano na wale wanaokwepa kulipa ushuru, kuhusu taratibu za kulipa. Rais wakati huo huo aliagiza taasisi za serikali ambazo zimeelekea mahakamani ku-ishtaki halmashauri ya –(KRA) kuondoa kesi zao mara moja, na badala yake kurejelea mazungumzo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #rutospeechtoday #taxes