Rais Ruto aonekana kumjibu Mama Ngina Kenyatta

  • | Citizen TV
    5,946 views

    Mdahalo kuhusu ulipaji ushuru umeendelea kutawala majukwaa ya kisiasa huku rais william ruto sasa akisema ameridhishwa na uamuzi wa Wakenya kuazimia kulipa ushuru. Akionekana kumjibu mama ngina kenyatta baada ya kauli yake kuhusu mdahalo huu hapo jana, Rais Ruto pia ameiagiza halmashauri ya kra kuwapa nafasi wakenya waliojitolea kutekeleza wajibu wao wa ushuru.