Wanafunzi waanza kujiunga na kidato cha kwanza

  • | Citizen TV
    383 views

    Gharama ya karo pamoja na bei ya juu ya bidhaa za shule bado ni donda sugu kwa wazazi hasa wakati huu ambapo wanafunzi wa kidato cha kwanza wanapojiandaa kujiunga na shule za sekondari kuanzia kesho. Aidha msongamano umeshuhudiwa kwenye maduka ya sare sehemu mbalimbali nchini.