Kangaroo walikosa makao wahifadhiwa

  • | BBC Swahili
    390 views
    Kangaroos wameonekana na wakazi huko West Bengal, India. Maafisa wa Wanyama pori wanaamini kuwa wawindaji haramu ndio waliwaachilia ili kuepuka kushikwa. Tazama kangaroo hawa walivyokuwa wakiangaika barabarani #bbcswahili #wanyama #india #kagaroo #uwindajiharamu