Serikali yahimizwa kuwaajiri walimu zaidi

  • | KBC Video
    25 views

    Baadhi ya wabunge kutoka kaunti ya Kakamega wanahimiza tume ya kuajiri walimu kuharakisha mchakato wa kuajiri walimu zaidi kwani shule nyingi za sekondari msingi hazina walimu mbali na kutojiandaa vyema kwa masomo hayo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #KenyaElection2022 #shortageofteachers