Mwanamke aliyenusurika kifo baada ya kugongwa shingoni na mwanawe wa kiume atafuta usaidizi

  • | KBC Video
    9 views

    Mwanamke wa umri wa miaka 54 aliyenusurika kifo baada ya kugongwa shingoni na mwanawe wa kiume aliye na matatizo ya ki-akili, anatafuta usaidizi ili afanyiwe matibabu maalum. Sheba Ongaki alipata matatizo ya neva na uti wa mgongo licha ya kufanyiwa matibabu baada ya kushambuliwa. Sasa anahitaji shilingi laki-5 ili atibiwe katika hospitali moja ya Nairobi

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #KenyaElection2022 #News