Siasa za ushuru || Ichungwa : Walioondolewa ushuru wabainishwe

  • | KBC Video
    64 views

    Kiongozi wa wengi katika bunge la taifa, Kimani Ichungwa ameiandikia barua hazina kuu akitaka taarifa kuhusu watu ambao wamekuwa wakifaidika na hatua ya serikali kuwaondolea ushuru.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #ushuru #News #kimaniichungwa