Mabadiliko ya tabia nchi yamekuwa na athari kubwa kwenye mazao tofauti tofauti kote duniani.
Nchini Tanzania mbali na kuathiri mazao ya msimu kama mahindi na maharage, pia yameshusha uzalishaji wa kahawa nchini humo hasa katika ukanda wa nyanda za juu kusini.
Watafiti wanasema kuwa zao hilo kwa miaka ya hivi karibuni limezidi kuathiriwa na mabadiliko ya hali ya hewa na magonjwa mbalimbali, hivyo kusababisha mavuno kuwa madogo huku bei sokoni ikiwa chini.
Mwandishi wa BBC, @eagansalla_gifted_sounds_ alikuwa mkoani Songwe na kuandaa taarifa hii.
#bbcswahili #mazingira #tanzania
18 Aug 2025
- Chinese foreign minister Wang Yi will visit India from Monday to Wednesday, China's foreign ministry said in a statement on Saturday, for talks about a disputed border in the Himalayas.
18 Aug 2025
- The high-profile meeting, set to take place at the KCB Leadership Centre in Nairobi, will bring together all MPs from the two parties under the framework of the broad-based government arrangement.
18 Aug 2025
- The inferno, which broke out earlier this week, claimed the life of one person while two minors are fighting for their lives at the Kenyatta National Hospital after sustaining severe burns.
18 Aug 2025
- In a strongly worded social media post, the former Gatundu South MP criticized what he termed the “broad-brush condemnation” of the Kikuyu community in the wake of the impeachment of former Deputy President Rigathi Gachagua. Kuria urged leaders to focus…
17 Aug 2025
- Overnight Saturday to Sunday, the Allied Democratic Forces carried out attacks against civilians in the town of Oicha, looting shops and setting fire to homes, according to accounts collected by AFP on the spot.
17 Aug 2025
- The meeting follows a summit in Alaska between Trump and Russian President Vladimir Putin that failed to yield any breakthrough on an immediate ceasefire that the US leader had been pushing for. 3