Washukiwa 10 wa sakata ya dhahabu waachiliwa kwa dhamana

  • | Citizen TV
    383 views

    Mahakama ya Nairobi imewaachilia washukiwa 10 wanaohusishwa na kashfa ya dhahabu yenye thamani ya shilingi milioni 66, kwa dhamana ya shilingi laki moja kila mmoja