Wakenya kugharamikia zaidi malipo ya uzeeni (NSSF)

  • | Citizen TV
    777 views

    Kuanzia mwezi ujao wafanyikazi wote nchini wataanza kulipia mchango wa hadi shillingi 2,000 kwa hazina ya malipo ya uzeeni (NSSF)